Misaada ya Kujifunza
TJS, Kumbukumbu la Torati 10


TJS, Kumbukumbu la Torati 10:2. Linganisha na Kumbukumbu la Torati 10:2

Juu ya seti ya kwanza ya mbao za mawe Mungu alifunua agano lisilo na mwisho la ukuhani mtakatifu.

2 Na nitaandika juu ya hizo mbao maneno ambayo yaliyokuwa yameandikwa juu ya mbao za kwanza, ambazo wewe umezivunja, isipokuwa maneno ya agano lisilo na mwisho la ukuhani mtakatifu, nawe uyatie ndani ya hilo sanduku.