2023
Liahona 19045
Julai 2023


Julai 2023 Juzuu ya 47 Na. 7

Liahona 19045

Urais wa Kwanza: Russell M. Nelson, Dallin H. Oaks, Henry B. Eyring

Akidi ya Mitume Kumi na Wawili: M. Russell Ballard, Jeffrey R. Holland, Dieter F. Uchtdorf, David A. Bednar, Quentin L. Cook, D. Todd Christofferson, Neil L. Andersen, Ronald A. Rasband, Gary E. Stevenson, Dale G. Renlund, Gerrit W. Gong, Ulisses Soares

Mhariri: Randall K. Bennett

Mhariri Msaidizi: Ricardo P. Giménez

Washauri: Jan E. Newman, Michael T. Ringwood, Kristin M. Yee

Mkurugenzi Mtendaji: Richard I. Heaton

Mkurugenzi wa Magazeti ya Kanisa: Adam C. Olson

Meneja wa Timu ya Uchapishaji: Lee Gibbons

Meneja Biashara: Garff Cannon

Mhariri Mtendaji: Brittany Beattie

Wahariri Watendaji Wasaidizi: Ryan Carr, C. Matthew Flitton, Mindy Selu

Msaidizi Uchapishaji: Nancy Sutton

Wahariri Washiriki: Garrett H. Garff, Chakell Wardleigh Herbert, Michael R. Morris, Alison R. Wood

Wahariri Wakufunzi: Joel B. Randall na Xóchitl Bott Rivera

Mkurugenzi wa Sanaa: Tadd R. Peterson

Wasanifu: Fay P. Andrus, Michael Dunford, David Green, Colleen Hinckley, Scott M. Mooy

Mkufunzi Usanifu: Ashley Skinner

Mratibu wa Haki Miliki: Priscilla Biehl Motta

Meneja Uzalishaji: Ammon Harris

Uzalishaji: Ira Glen Adair, Julie Burdett, José Chavez, Zane R. Gray II, Bryan W. Gygi, Marrissa M. Smith, Rohn Solomon

Mkurugenzi Uchapishaji: Steven T. Lewis

Mkurugenzi Usambazaji: Nelson Gonzalez

Anwani ya Barua: Liahona, Fl. 23, 50 E. North Temple St., Salt Lake City, UT 84150-0023, USA.

Liahona (neno katika Kitabu cha Mormoni linalomaanisha “dira” ama “kielekezi”) huchapishwa katika Kialbania, Kiarmeni, Kibislama, Kibulgaria, Kikambodia, Kisebuano, Kichina, Kichina (kilichorahisishwa), Kikroeshia, Kicheki, Kidenishi, Kiholanzi, Kiingereza, Kiestoni, Kifiji, Kifini, Kifaransa, Kijerumani, Kigiriki, Kihangari, Kiaislandi, Kiindonesia, Kiitaliano, Kijapani, Kikiribati, Kikorea, Kilatvia, Kilithuania, Kimalagasi, Kimarshalizi, Kimongolia, Kinorwei, Kipolishi, Kireno, Kiromania, Kirusi, Kisamoa, Kislovenia, Kihispania, Kiswahili, Kiswidi, Kitagalogi, Kitahiti, Kithai, Kitonga, Kiukreni, Kiurdu, na Kivietinamu. (Idadi ya marudio ya uchapishaji hutofautiana kwa lugha.)

© 2023 na Intellectual Reserve, Inc. Haki zote zimehifadhiwa. Limepigwa chapa Marekani.

Taarifa ya haki miliki: Isipokuwa imeelekezwa vinginevyo, watu binafsi wanaweza kutoa nakala kutoka kwenye Liahona kwa ajili ya matumizi yao binafsi, yasiyo ya kibiashara (ikijumuisha kwa ajili ya miito ya Kanisa). Haki hii inaweza kuondolewa wakati wowote. Picha haziwezi kunakiliwa ikiwa vizuizi vimeandikwa katika sehemu ya msanii pamoja na kazi yake. Maswali kuhusu haki miliki yanapaswa kuelekezwa kwa Intellectual Property Office, 50 E. North Temple St., FL 5, Salt Lake City, UT 84150, USA; barua pepe: cor-intellectualproperty@ChurchofJesusChrist.org.

Kwa Wasomaji nchini Marekani na Kanada: Julai 2023 Juzuu. 47 No. 7. LIAHONA (USPS 311-480) Kingereza (ISSN 1080-9554) huchapishwa kila mwezi na Kanisa la Yesu Kristo la Watakatifu wa Siku za Mwisho, 50 E. North Temple St., Salt Lake City, UT 84150-0024. USA. Bei ya kuagiza kwa Marekani ni $10.00 kwa mwaka; Kanada, $12.00 pamoja na ushuru husika. Ada ya Posta ya Magazeti Hulipwa Jijini Salt Lake, Utah. Notisi ya siku sitini inahitajika kwa ajili ya kubadili anwani. Jumuisha nembo ya anwani kutoka toleo la hivi karibuni; anwani ya zamani na mpya lazima zijumuishwe. Maombi ya Marekani na Kanada yatumwe kwenye Kituo cha Usambazaji cha Salt Lake katika anwani iliyoko hapo chini. Nambari ya msaada kwa maombi uliyoagiza: 1‑800‑537‑5971. Maagizo ya kadi ya mikopo (American Express, Discover, MasterCard, Visa) yanaweza kuchukuliwa kwa simu ama katika store.ChurchofJesusChrist.org. (Taarifa ya Posta ya Kanada: Mkataba wa Uchapishaji #40017431)

POSTMASTER: Tuma UAA zote kwa CFS (ona DMM 507.1.5.2). ISIYO YA POSTA NA MAENEO YA JESHI: Tuma mabadiliko ya anwani kwa Distribution Services, Church Magazines, P.O. Box 26368, Salt Lake City, UT 84126-0368, USA.