“Muujiza kwenye Harusi huko Kana,” Liahona, Jan. 2023. Sanaa ya Agano Jipya Muujiza kwenye Harusi huko Kana Pichawatu kwenye harusi katika nyakati za Agano Jipya “Mwanzo huo wa ishara Yesu aliufanya huko Kana ya Galilaya, akaudhihirisha utukufu wake; nao wanafunzi wake wakamwamini.” Yohana 2:11 Harusi huko Cana, na Carl Heinrich Bloch