Nyenzo za Kufundisha na Kujifunza
Chunguza nyenzo za thamani zinazotolewa na Kanisa ili kuboresha ufundishaji wa injili na kujifunza nyumbani na katika mazingira ya kanisa. Gundua jinsi Mwokozi alivyofundisha wakati wa huduma Yake duniani na fuata mfano Wake.